Hasan Al-Husayniy Imetafsiriwa na ‘Abdun-Naaswir Hikmany Shukrani ni za Allaah, na rahma zimuendee Mjumbe wake Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ambaye ni mbora wa viumbe wote … Ninataka kuweka (wazi) mbele ya msomaji, vizuizi (nukta) vifuatavyo kuhusiana na washerehekeaji wa siku ya kuzaliwa Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aailihi wa sallam), ikitajwa tendo lao la kufanya hivyo, kwa mujibu wa Shari’ah ya Kiislamu; kitendo cha haki iliyoruhusiwa (Halali) au dhidi ya Shari’ah (Haramu). Kwa maneno mengine, je inastahiki kupatiwa adhabu? Zaidi ninamuomba Allaah, kwamba makala hii kuwa ni yenye manufaa kwa wote. Kizuizi Cha Kwanza Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Amemtaka Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kufuata yale ambayo Allaah Amemshushia na sio kubuni maelekezo ya ‘uongo’, Anasema katika maneno Yake ndani ya Qur-aan: ثُمَّ جَعَلْنَاكَ عَلَىٰ شَرِيعَةٍ مِّنَ الْأَمْرِ فَاتَّبِعْهَا وَلَا تَتَّبِعْ أَهْوَاءَ الَّذِينَ لَا...
ISEMAVYO QUR-ANI TUKUFU KUHUSIANA NA SWAUMU YA RAMADHANI SWAUMU YA RAMADHANI KATIKA DIRISHA DOGO. ISEMAVYO QUR-ANI TUKUFU KUHUSIANA NA SWAUMU YA RAMADHANI: Allah Mtukufu anasema: “ENYI MLIOAMIMNI! MMELAZIMISHWA KUFUNGA (swaumu) KAMA WALIVYOLAZIMISHWA WALIOKUWA KABLA YENU ILI MPATE KUMCHA ALLAH. SIKU CHACHE TU (kufunga huko). NA ATAKAYEKUWA MGONJWA KATIKA NYINYI AU KATIKA SAFARI (akafungua baadhi ya siku), BASI (atimize) HISABU KATIKA SIKU NYINGINE. NA WALE WASIOWEZA, WATOE FIDIA KWA KUMLISHA MASIKINI. NA ATAKAYEFANYA WEMA KWA RADHI YA NAFSI YAKE, BASI NI BORA KWAKE. NA (huku) KUFUNGA NI BORA KWENU IKIWA MNAJUA. (mwezi huo mlioambiwa kufunga) NI MWEZI WA RAMADHANI AMBAO IMETEREMSHWA KATIKA (mwezi) HUO HII QUR-ANI ILI IWE UWONGOZI KWA WATU, NA HOJA ZILIZO WAZI ZA UWONGOFU NA UPAMBANUZI (wa baina ya haki na batili). ATAKAYEKUWA KATIKA MJI KATIKA HUU MWEZI (wa Ramadhani) AFUNGE. NA MWENYE KUWA MGONJWA AU SAFARINI, BASI (atimize) HISABU (ya siku alizoacha kufunga) KATIKA...
AJALI MBAYA YA BASI YATOKEA KAHAMA Hivi ndiyo basi la wibonela lilivyoacha njia mjini kahama huku ikiwa imelala ubavu KAHAMA. Watu wanne wamekufa papo hapo na wengine arobaini kujeruhiwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga baada ya kutokea ajari mbaya iliyohusha basi la abiri. Tukioa hilo lilitokea jana majira ya saa Kumi na mbili asubuhi katika eneo la Phantom Nje Kidogo mwa mji wa Kahama,wakati basi aina ya Scania lenye no T 412 CGN mali ya Wibonela Ambalo lilikuwa likitokea mjini Kahama kwenda jijini Dar es Salaam kuacha njia na kupinduka. Kwa mjibu wa Mganga Mfawidhiwa Hospitali ya mji wa Kahama Joseph Ngowi alisema walikufa kati yao wanaume ni 3 akiwemo mtoto na mwamke ni Mmoja ambapo aliataja kuwa ni Amina Emmanuel ambaye alikuwa mjamzito mkazi wa Kigoma, Salum ambaye alifahamika kwa jina moja , Mtoto wa miezi mitatu Robin Jordan na mwanamme mmoja mabaye hakufahamika. Aliataja waliojeruhiwa ni Mauld Shab...
Comments
Post a Comment