Posts

Showing posts from 2013

In the Name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

Image
In the Name of Allah, Most Gracious, Most Merciful. WHEN THE QUR'AN IS RECITED, LISTEN TO IT WITH ATTENTION, AND HOLD YOUR PEACE; SO THAT YOU MAY RECEIVE MERCY. AND YOU (O Reciter!) BRING YOUR ALLAH TO REMEMBRANCE IN YOUR (very) SOUL, WITH HUMILITY AND IN REVERENCE, WITHOUT LOUDNESS IN WORDS, IN THE MORNINGS & EVENINGS; AND BE NOT YOU OF THOSE, WHO ARE UNHEEDFUL. THOSE WHO ARE NEAR TO YOUR ALLAH, DISDAIN NOT TO WORSHIP HIM; THEY CELEBRATE HIS PRAISES, & BOW DOWN BEFORE ALLAH!. (Surah AL-A'RAF (7) 204-206:

Al Hadith..

Narrated Salman-Al-Farsi: The Prophet (peace be upon him) said, "Whoever takes a bath on Friday, purifies himself as much as he can, then uses his (hair) oil or perfumes himself with the scent of his house, then proceeds (for the #Jumuah pr ... ayer) and does not separate two persons sitting together (in the mosque), then prays as much as (Allah has) written for him and then remains silent while the Imam is delivering the Khutba, his sins in-between the present and the last Friday would be forgiven." [Sahih #Bukhari ]

UTWAHARA WA MGONJWA

KHUTBA YA KWANZA Utangulizi Ewe Muislamu, Mola amekuumba na atakupa mitihani, basi utakapopata mitihani hiyo usisahau ibada Yake kama kawaida, tena haswa ibada ya swala. Utwahara wa Mgonjwa na Swala zake Baada ya him i di na swala na salamu, Enyi watu, muogopeni Mwenyezi Mungu kisawa sawa. Ewe muislamu, ujuwe Mola alituafikia, mimi na wewe tupate kheri ya Uislamu na bila shaka, maadamu ni Waislamu tutapata mitihani kila aina, ya siri na ya dhahiri ili tumtambue, tumshukuru na kusubiri. Na ndio Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Taala) akasema  katika maana ya Aya: يقول الله جلّ وعلا: {وَلَنَبْلُوَنَّكُمْ حَتَّى نَعْلَمَ الْمُجَاهِدِينَ مِنْكُمْ وَالصَّابِرِينَ وَنَبْلُوَ أَخْبَارَكُمْ ﭨ } [محمد:31] . {{Hakika tutawaonja mpaka tujue waumini wa kweli na wavumilivu miongoni mwenu}}. Mwanafunzi wa Mtume, Suhaib Ar-Rumii amesema kwamba Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam) amesema: [Ajabu ni ya huyu Muislamu, kwa kuwa kila jambo lake ni nzuri. Akipata la kumfurahis...