Posts

Showing posts from 2015

Is Islam a religion of war?

Image
Assalam alaykum waRahmatullahi waBarakatuh Dear brothers and sisters, This(the question of whether Islam is a religion of war or peace) is perhaps one of those most asked questions on Islam. Watch brother Mehdi Hassan, a journalist, giving his argument(and explaining each point in detail) for Islam being a religion of peace.    You can download that video by clicking here

Arabic language learning books(The renowned Madinah books)

Assalam alaykum waRahmatullahi waBakaratuh, Alhamdulillahi rabbil-'alamin was salatu was salamu 'ala ashrifil anbiya wal-mursalin nabiyina Muhammad wa 'ala alihi wa sahbihi ajma'in Amma ba'ad For one to excel in understanding the Holy Qur'an and traditions of the Holy Prophet(s.a.w), proficiency in the Arabic language(at least written) is key. It is, however, very unfortunate that Arabic is not everybody's native language, in which case attainment of that required proficiency would only come with learning. I believe that most of us, having had passed through that period of learning a new language at some point in our lives, would agree with me that finding the right resources is very important if one is to embark on that journey. And for that, I'd like to share with you today a set of very nice books for learning Arabic, the "Duruwsu al lughatul 'arabiyya lighairi nnatiqiyna biha" (the "Learn Arabic for non native speakers...

Things worth noting before starting to learn Arabic

Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh, All praise be to Allah! It is no wonder that Arabic, the language of the Holy Qur'an, the source language of Islamic jurisprudence and religious literature, and one of the 5 most widely spoken languages in the world, with approximately 290 million native speakers would have captured the attention of many Muslims and non-Muslims alike. Arabic(or al 'arabiyyah in Arabic) is the Classical Arabic language of the 6th century and its modern descendants. The language is spoken in a wide arc stretching across the Middle East, North Africa, and the Horn of Africa. The literary language, called Modern Standard Arabic or Literary Arabic, is the only official form of Arabic. It is used in most written documents as well as in formal spoken occasions, such as lectures and news broadcasts. Apart from the Modern Standard Arabic, which is based on the Classical Arabic ( اللغة العربية التراثية al-lughah al-ʻArabīyah al-turāthīyah ) of th...

WORLD HIJJAB DAY

Introduction World Hijab Day is an annual event that takes place on February 1. The very first World Hijab Day was celebrated in 2013. Founded by Nazma Khan , it’s a worldwide event that encourages Muslim and Non-Muslim women to wear hijab, and experience life of a Hijabi woman. This event showcases freedom and traditional aspect of hijab to the women of the 116 participating countries. In short, World Hijab Day is a way for the Non-Hijabi woman to experience hijab from the other side. Background World Hijab Day is a result of misinterpretation of hijab around the world. In some countries hijab is viewed as a method of oppression. It is believed that women are being forced to wear hijab, and continue their traditions. These beliefs led to the ill-treatment of woman wearing hijab in many societies. It took away women’s voices and added to their suffering. Many example of these mistreatments of hijabi women can be found worldwide. For example: France : France is one of the key e...

SIKUKUU YA WAPENDANAO NA HUKUMU YAKE

BismiLLaah wa AlhamduliLLaah was-Swalaatu was Salaamu ‘alaa Muhammad wa ‘alaa ‘Aalihi wa Aswhaabihil Kiraam, wa Ba’ad, Allaah سبحانه وتعالى Ametuchagulia dini ya Kiislamu ambayo ndio dini ya haki na Hatokubali dini yoyote nyingine kama Anavyosema: ((وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الإِسْلاَمِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ))   ((Na anayetafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasirika)) [Al-'Imraan:85] Na Mtume صلى الله عليه وآله وسلم ametuambia kuwa kutakua na makundi katika ummah wake ambao watawafuata maadui wa Allaah سبحانه وتعالى katika desturi na mila zao kama ifuatavyo: ((ستتبعون سنن من كان قبلكم شبراً بشبر وذراعاً بذراع حتى لو دخلوا جحر ضب لدخلتموه)) قالوا: أتراهم اليهود والنصارى؟ قال: ((فمن إذن؟)) البخاري ومسلم   ((Mtafuata nyendo  za wale waliokuja  kabla yenu  hatua kwa hatua mpaka itafika hadi wakiingia katika shimo la kenge, na nyinyi mtaingia pia)) Waka...

Tangazo la Muhimu kwa wanachuo waislamu wa kcmc!

Kwa wanafunzi wote wa kcmc, mnatakiwa kujirejista kwenye blog hii .Nenda kwenye Register then click ujaze taarifa zitakazo onekana hapo chini.

Muswada wa Mahakama ya Kadhi Waondolewa Bungeni

Image
Muswada wa Sheria ya kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara hautajadiliwa katika mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma baada ya serikali kuuondoa kwa maandalizi zaidi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, alisema jana usiku kuwa wameamua kuuondoa muswada huo ili kupata fursa ya kutoa elimu zaidi kwa viongozi wa dini na kuufanyia marekebisho baadhi ya maeneo.Alisema serikali inatarajia kuurejesha tena bungeni mwezi ujao. Hata hivyo, habari za uhakika kutoka Dodoma zinasema kuwa kulikuwa na mvutano mkali ndani ya kamati ya Bunge iliyokuwa inashughulikia muswada huo uliokuwa kwa misingi ya imani hivyo busara ilitumika kuahirishwa uwasilishwaji kwa mara ya pili kwani mjadala kwenye Bunge zima ungeweza kuleta mpasuko. Muswada huo ulikuwa unawasilishwa kutokana na ahadi ya serikali kwenye Bunge Maalum la Katiba ambako mjadala ulikuwa mzito baadhi ya wajumbe wakitaka mahakama ya kadhi iin...

BREAKING NEWS: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. MUHONGO AJIUZULU

BREAKING NEWS: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. MUHONGO AJIUZULU TAARIFA ambazo mtandao wa Thehabari.com umezipata ni kwamba Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo ameamua kujiuzulu nafasi yake. Profesa Muhongo ametangaza hatua hiyo leo asubuni alipokuwa akizungumza na waandishi wa habarimakao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.akitangaza kujiunzulu mbele ya waandishi wa habari mapema leo Jumamosi Januari 24, 2015 makao makuu ya wizara ya Nishati na Madini, jijini Dar es Salaam Waziri wanishati na Madini, Profesa sospeter Muhongo, ametangaza kujiuzulu kutoka wadhifa huo mapema leo Jumamosi Januari 24, 2015. Waziri huyo mtaalamu wa miamba, amejiuzulu kufuatia shinikizo la mudamrefu la kumtaka afanye hivyo au awajibishwe, kufuatia mapendekezo ya bunge lililopita, lililoiagiza Serikali kuchukua hatua dhidi ya viongozi wote na watendaji waliohusika na kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow iliyobainisha kiasi cha fedha bilioni 302 kucho...

UTEUZI WA KAMATI MBALIMBALI ZA JUMUIYA YA KCMC MUSLIM ASSOCIATION

Image
Uteuzi wa kamati mbalimbali ya jumuiya ya kcmc muslim association  bonyeza hapa kuangalia

Celebrating the Birthday of the Prophet

Image
Celebrating the Birthday of the Prophet book click here to download

MASJID SHEIKH AL ANSWAR

Image
ASSALAAM ALEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATUH Natumahi ndugu zangu ktk imani ni wazima hapo mlipo poleni sana na majukuumu ALLAH awape nguvu katika kuyaendea. Sisi kama wanajumuiya ya wanafunzi wa kiislamu CHUO KIKUU CHA MWENGE tunayofuraha na majivuno ya kuwepo kwa nyumba ya ALLAH (msikiti) hapa chuoni ambayo jitihada kubwa ya kusimama kwake imetokana na umoja na ushirikiano wa wanajumuiya wa hapa chuoni pia tukishirikiana kwa kiasi kikubwa na jumuiya ya vyuo mbalimbali kama KCMCo, MUCCobs, SMMUCO(All campus),n.k pamoja na misikiti mbalimbali hapa MOSHI manispaa na wilaya zingine pamoja na waislamu. Mkurugenzi wa AFRICAN MUSLIM AGENCY, alitusaidie sana pia ktk kuliendea hili suala kutokea mwanzo mpaka msikiti unasimama,,, Picha zitaonesha ktk kiambatanisho tokea harakati kuanza hadi hivi sasakukamilika kwake''' Dhumuni kubwa la kutuma email ni kutoa shukrani kwani mnamo tarehe 30/11/2014 jumapili asubuhi tuliweza kufanyaa uzinduzi wa msikiti huu(MASJID SHEI...