MASJID SHEIKH AL ANSWAR

ASSALAAM ALEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKAATUH Natumahi ndugu zangu ktk imani ni wazima hapo mlipo poleni sana na majukuumu ALLAH awape nguvu katika kuyaendea. Sisi kama wanajumuiya ya wanafunzi wa kiislamu CHUO KIKUU CHA MWENGE tunayofuraha na majivuno ya kuwepo kwa nyumba ya ALLAH (msikiti) hapa chuoni ambayo jitihada kubwa ya kusimama kwake imetokana na umoja na ushirikiano wa wanajumuiya wa hapa chuoni pia tukishirikiana kwa kiasi kikubwa na jumuiya ya vyuo mbalimbali kama KCMCo, MUCCobs, SMMUCO(All campus),n.k pamoja na misikiti mbalimbali hapa MOSHI manispaa na wilaya zingine pamoja na waislamu. Mkurugenzi wa AFRICAN MUSLIM AGENCY, alitusaidie sana pia ktk kuliendea hili suala kutokea mwanzo mpaka msikiti unasimama,,, Picha zitaonesha ktk kiambatanisho tokea harakati kuanza hadi hivi sasakukamilika kwake''' Dhumuni kubwa la kutuma email ni kutoa shukrani kwani mnamo tarehe 30/11/2014 jumapili asubuhi tuliweza kufanyaa uzinduzi wa msikiti huu(MASJID SHEIKH AL-ANSAAR) Uliopo mtaa wa kitefure LONGUO B na sio mbali sana kutokea chuoni'; katika uzinduzi huo tuliwaalika wageni mbalimbali kama vile-: Mkurugenzi wa A.M.A(Mgeni Rasmi) Imam Thabit (Riadha) Mzee Mhandeni(Lecturer MOCU) Na maimamu kutoka masjid MINA na MUZDALIFAH . Na wageni kutoka vyuo mbalimbali, kama KCMCo, SINGACHINI, KIRINJIKO, SMMUCO n.k MATUKIO KATIKA PICHA YANAONESHA JINSI GANI HIYO SIKU ILIVYOKUWA, ALLAH ATUDUMISHE KTK UISLAMU NA TUWE KTK WENYE KUTEGEMEA MALIPO KUTOKA KWAKE,,,,,ALLAHUMA AMIIN AMIR, MSAMWU. WABILLAH TAWFIQ

Comments

Popular posts from this blog

VIZUIZI 12 VYA KUSHEHEREKEA MAULID

ISEMAVYO QUR-ANI TUKUFU KUHUSIANA NA SWAUMU YA RAMADHANI SWAUMU YA RAMADHANI KATIKA DIRISHA DOGO. ISEMAVYO QUR-ANI TUKUFU KUHUSIANA NA SWAUMU YA RAMADHANI:

AJALI MBAYA YA BASI YATOKEA KAHAMA