BREAKING NEWS: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. MUHONGO AJIUZULU
BREAKING NEWS: WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROF. MUHONGO AJIUZULU TAARIFA ambazo mtandao wa Thehabari.com umezipata ni kwamba Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo ameamua kujiuzulu nafasi yake. Profesa Muhongo ametangaza hatua hiyo leo asubuni alipokuwa akizungumza na waandishi wa habarimakao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam.akitangaza kujiunzulu mbele ya waandishi wa habari mapema leo Jumamosi Januari 24, 2015 makao makuu ya wizara ya Nishati na Madini, jijini Dar es Salaam Waziri wanishati na Madini, Profesa sospeter Muhongo, ametangaza kujiuzulu kutoka wadhifa huo mapema leo Jumamosi Januari 24, 2015. Waziri huyo mtaalamu wa miamba, amejiuzulu kufuatia shinikizo la mudamrefu la kumtaka afanye hivyo au awajibishwe, kufuatia mapendekezo ya bunge lililopita, lililoiagiza Serikali kuchukua hatua dhidi ya viongozi wote na watendaji waliohusika na kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow iliyobainisha kiasi cha fedha bilioni 302 kucho...