ASALAAM ALEYKUM

Alhamdu lillah rabi ala miin. Shukurani na pongezi ziende kwa Allah muumba wetu na yeye tu ndio mwenye kustahili sifa zote njema. Kulitokea tatizo blog yetu ya kcmcmuslim.blogspot.com ikafungwa kwa hiyo Allah ametuwezesha tumefungua nyingine ambayo inakaribiana sawa na ile kwa jina la www.kcmcmulims.blogspot.com tumeongeza 's' tu kwenye jina la zamani na hii ni kuwajumulisha waislam wa jumuia yoote ya kcmc. Na e-mail yetu ni kcmcmuslims@gmail.com tunaomba mshirikiane nasi hasa kwenye maoni kwenye hii blog na ushauri pamoja na ku-share kwenye facebook na mitandao mingine ya kijamii tutakayokuwa tunayaandika humu.

Wabillah tawfiq,
Salaaam aleykum.

Comments

Popular posts from this blog

VIZUIZI 12 VYA KUSHEHEREKEA MAULID

ISEMAVYO QUR-ANI TUKUFU KUHUSIANA NA SWAUMU YA RAMADHANI SWAUMU YA RAMADHANI KATIKA DIRISHA DOGO. ISEMAVYO QUR-ANI TUKUFU KUHUSIANA NA SWAUMU YA RAMADHANI:

AJALI MBAYA YA BASI YATOKEA KAHAMA